Posted on: January 3rd, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amewataka wazazi kuwapeleka shule watoto wao ili waelimike na kusaidia kupunguza tatizo la mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina.
Mhe. Telacka ame...
Posted on: October 27th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amewapa siku 2 wakaguzi kutoka shirika la ukaguzi na usimamizi wa vyama vya ushirika COASCO kutoa sababu za kufanya ukaguzi kinyume cha maelekezo ya Ofisi ...
Posted on: October 21st, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Bw. Geofrey Mwangulumbi kumsimamisha kazi Afisa manunuzi wa Manispaa hiyo Bw. Mwita Peter Nyang’anyi ili kupis...