• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WATOTO WAKILELEWA KWENYE MISINGI INAYOTAKIWA, ITAWAPUNGUZIA MZIGO POLISI

Posted on: June 19th, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Daktari Yudas Ndungile kuwa watoto wakilelewa katika misingi inayotakiwa itawapunguzia mzigo Jeshi la Polisi katika suala la uhalifu kwani watakuwa na maadili na kimsingi wanapaswa kuanza kulelewa wakiwa bado wadogo.

Dr. Ndungile ameyasema haya wakati wa ufunguzi wa kikao cha tathimini za Halmashauri sita za Mkoa wa  Shinyanga zikilenga kufanya tathimini ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya  Awali ya Mtoto  (PJT-MMMAM) ili kufikia ukuaji timilifu wa watoto.

"Watoto watakapolelewa kwenye misingi inayotakiwa  itawezekana kuwapunguzia mzigo Jeshi la Polisi katika suala la uhalifu  kwani wanatakiwa waanze kulelewa wakiwa  bado wadogo," amesema Dr. Ndungile.

Kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Shinyanga Bi. Lyidia Kwesigabo amesema  katika maazimio matano  waliyojiwekea watahakikisha wanayafanyia kazi na kuyaboresha ikiwemo kushirikisha taasisi  binafsi katka kuwalinda watoto na kuwapatia miundombinu rafiki.

Aidha, Maaifsa ustawi wa jamii  kutoka halmashauri zote waliwasilisha tathimini katika maeneo yao ikiwa programu ya (MMMAM) ilizinduliwa  rasmi kwenye  halmashauri hizo mwezi Februari mwaka huu.

Kando nao, mwakilishi kutoka Mtandao wa Malezi, Makuzi na  Maendeleo ya Awali ya Mtoto  nchini (TECDEN ) Ndg. Christopher Peter amezipongeza Halmashauri zote kwa kuanza kupiga hatua katika utekelezaji wake, huku akisistiza uwajibikaji zaidi.


HABARI PICHA

Dr. Yudas Ndungile

Bi. Lydia Kwesigabo

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA IPOSA NI MKOMBOZI KWA VIJANA WALIO WENGI WANAOKOSA FURSA YA ELIMU YA KAWAIDA - RC. MACHA

    May 23, 2025
  • NATOA WITO KWA VIJANA HAPA SHINYANGA KUREJEA NA KUTATHIMINI UPYA NJIA ZA KUJIPATIA KIPATO - RC. MACHA

    May 20, 2025
  • SERIKALI YATHIBITISHA VIFO VYA WATU SITA NA MAJERUHI 11 KATIKA AJALI YA MGODI WA MWAKITOLYO.

    May 18, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI, NENDENI MKAWE MABALOZI SAHIHI WA KAZI ZA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN – RC. MACHA

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa