Idara hii inajumuisha na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, lengo la seksheni hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa