Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yatafanyika tarehe 08/03/2018, Kimkoa yatafanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Wilayani Kahama. Kauli Mbiu ya Maadhimisho hayo mwaka huu ni "Kuelekea Uchumi wa viwanda, tuimarishe usawa wa jinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijini".
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa