Kuna jumla ya shule za sekondari 274, shule za serikali ni 255 na shule zisizo za serikali ni 19. Mwaka 2007 kulikuwa na shule zisizo za serikali 20, lakini shule ya Mwadui Ufundi imechukuliwa na serikali pamoja shule ya kanawa ambayo haina wanafunzi na kufanya shule zisizo za serikali zinazofanya kazi kuwa 18.
S/N |
WILAYA |
SHULE ZA SERIKALI |
SHULE ZISIZO ZA SERIKALI |
JUMLA |
1 |
Bariadi |
64 |
2 |
66 |
2 |
Bukombe |
24 |
2 |
26 |
3 |
Kahama |
41 |
7 |
48 |
4 |
Kishapu |
26 |
1 |
27 |
5 |
Maswa |
36 |
2 |
38 |
6 |
Meatu |
22 |
0 |
22 |
7 |
Shinyanga Manispaa |
17 |
4 |
21 |
8 |
Shinyanga Vijijini |
25 |
1 |
26 |
|
JUMLA |
255 |
19 |
274 |
2.1 SHULE ZILIZOPENDEKEZWA KUWANZISHWA MADARASA YA KIDATO CHA TANO
S/N |
WILAYA |
IDADI YA SHULE |
JINA LA SHULE |
1 |
Bariadi |
1 |
Bariadi Sekondari |
2 |
Bukombe |
1 |
Runzewe Sekondari |
3 |
Kahama |
1 |
Mwendakulima Sekondari |
4 |
Kishapu |
1 |
Kishapu Sekondari |
5 |
Maswa |
1 |
Binza Sekondari |
6 |
Meatu |
1 |
Meatu Sekondari |
7 |
Shinyanga Manispaa |
1 |
Rajani Sekondari |
8 |
Shinyanga Vijijini |
2 |
Kitul na Samuye Sekondari |
|
JUMLA |
9 |
|
Ujenzi wa shule hizo upo katika hatua mbalimbali.
2.2 IDADI YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA MKOA WA SHINYANGA
S/N |
WILAYA |
IDADI YA SHULE |
ME |
KE |
JUMLA |
1 |
Bariadi |
64 |
142 |
28 |
170 |
2 |
Bukombe |
24 |
71 |
17 |
88 |
3 |
Kahama |
41 |
131 |
30 |
161 |
4 |
Kishapu |
26 |
107 |
14 |
121 |
5 |
Maswa |
36 |
102 |
19 |
121 |
6 |
Meatu |
22 |
48 |
5 |
53 |
7 |
Shinyanga Manispaa |
17 |
87 |
43 |
130 |
8 |
Shinyanga Vijijini |
25 |
67 |
7 |
74 |
|
JUMLA |
255 |
755 |
163 |
918 |
Walimu walioainishwa hapo juu ni walimu waliohitimu ualimu tu, ambao wanastashahada ya ualimu au shahada ya ualimu. |