• Mbio za mwenge
  • Pamba
  • Ufugaji:Shinyanga inasifika kwa ufugaji wang'ombe
  • Mkuu wa mkoa Shinyanga
Mbio za mwenge Mbio za mwenge Pamba Ufugaji:Shinyanga inasifika kwa ufugaji wang'ombe ufunguzi zahanati ushetu Mbio za mwenge

 

Karibu Mkoani Shinyanga

Mkoa wa Shinyanga ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania.Mkoa unapakana na mikoa ya Mwanza upande wa Kaskazini, Simiyu upande wa Mashariki, Geita upande wa Magharibi na Tabora upande wa Kusini. Kabla ya kumegwa upande wa mashariki na kuzaa mkoa wa Simiyu Shinyanga ilikuwa na wakazi 2,796,630 kufuatana na sensa ya mwaka 2002. Makabila ya Shinyanga hasa ni Wasukuma, Wanyamwezi na Wasumbwa. Taarifa ya Matokeo ya Sensa ya Taifa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 zilionesha kuwa Mkoa wa Shinyanga ulikuwa na jumla ya watu 1,534,808 na ongezeko la watu kwa mwaka ni asilimia 2.1. Mkoa una Wilaya 3 ambazo ni Kahama, Kishapu na Shinyanga; na pia Mkoa una Halmashauri sita, Halmashauri hizo ni Kahama Mjini, Msalala, Ushetu, Kishapu, Shinyanga na Shinyanga Manispaa.
soma zaidi...

Taarifa Muhimu
Matukio Na Matangazo